Monday, June 6, 2016

Kiungo wa Chelsea anayecheza kwa mkopo katika Klabu ya  AS Roma, Mohammed Salah, Jumamosi iliyopita alilazimika kuomba jezi ya kiungo wa Taifa Stars, Farid Mussa, kutokana na uwezo aliuonyesha kiungo huyo katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa Afrika dhidi ya  Misri.
 Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, Stars ilikubali kichapo cha mabao 2-0, yaliyofungwa na straika huyo huku akiwa ndiye mchezaji pekee aliyeweza kubadilishana jezi na mchezaji wa Stars.
 Baada ya zoezi hilo Farid alisema ndiye alikwenda kumuomba wabadilishane jezi  kitendo kilichokubaliwa na kiungo huyo anayetarajia kujiunga na Klabu ya Teneriffe, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Hispania.
Farid amesema hakuwa na mpango wa kubadilishana jezi na mchezaji yeyote lakini alipofuatwa na Salah na kuombwa alikubali ombi lake.
“Kukweli kwanza sikupanga kubadilishana jezi na mchezaji yoyote, lakini aliponifuata Salah nikiwa sina jinsi nikakubali kumpa jezi yangu naye akanipa yake,” alisema Farid ambaye alionyesha kiwango cha juu kwenye mechi hiyo.   
Credit:Salehjembe

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video