Monday, June 6, 2016

PATRICE EVRA ameamua kujikumbushia wakati wake murua akiwa na kocha wake wa zamani Sir Alex Ferguson enzi hizo akiwa kunako klabu ya Manchester United .
Nahodha huyo wa zamani wa United alisajiliwa na Ferguson akitokea Monaco na kudumu kwa takriban misimu nane klabuni hapo. 
Ameepata mafanikio makubwa ikiwemo kuchukua mataji matano ya EPL na moja la Champions League.
Sasa leo ameamua kumtania kidogo kocha wake kwa kuposti picha na maelezao haya katika akaunti yake ya Instagram.
A photo posted by Patrice Evra (@patrice.evra) on


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video