Friday, June 10, 2016

David De Gea amerusha kijembe kwa Louis van Gaal na kudai kwamba Manchester United inahitaji kocha kama Jose Mourinho
De Gea amedai kwamba, United hawakuwa katika ubora wowote ule ndani ya utawala wa miaka miwili wa Van Gaal, licha ya kushinda kombe la FA.
Mlinda lango huyo wa Uhispania ameongeza kuwa, hakuwa akiridhishwa na nafasi ya nne na ya tano ambayo timu hiyo imemaliza katika vkipindi cha miaka miwili chini ya utawala wa Van Gaal, kutokana na ukweli kwamba hapo awali walikuwa kipaumbele chao kupigania ubingwa.
Amedai kwamba, Mourinho anaweza kuirejesha United enzi za Sir Alex Ferguson na kupongeza mkataba mnono aliopewa.
Katika mahojiano na Spanish radio network Cadena Ser, De Gea alisema: "Nilikuja United kushinda makombe na ni kweli kwamba ndani ya miaka hii miwili hatukuwa katika ubora ambao mara zote tumekuwa nao
"Lakini nina mataumaini kwamba mabadiliko haya ya benchi la ufundi, United itarejea katika ubora wake wa awali".
De Gea ameongeza kwamba hajaongea na mchezaji yeyote wa Real Madrid ambao wapo katika kikosi cha Uhispania juu ya Mourinho kwasababu tayari anamjua Mourinho vizuri sana.
Amesema kocha huyo wa zamani wa Real, Chelsea, Porto na Inter Milan na vigezo vyote vya kuifundisha United.
"Sijaongea na mtu yeyote, alisema, "Tayari tunamjua kwa uzuri sana.
"Nadhani United walikuwa wakihitaji kocha kama yeye...kocha mwenye morali ya kushinda muda wote.
Ujio wa Mourinho pia umeanza kuondoa tetesi za De Gea kuondoka kunako klabu ya United.
He insists he is already at a big club after Real sources claimed they would not try again to sign him this summer.
"Tayari nipo kwenye timu kubwa, ambayo inanipa furaha kila siku", aliongeza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video