Thursday, June 16, 2016

Beki wa PSG David Luiz kwa sasa anafurahia mapumziko yake nchini Kuwait huku akisubiri msimu mpya wa ligi.
Akiwa katika mapumziko yake nchini Kuwait, Luiz alichukua muda wake kujumuika katika mchezo wa watu 5.
Kabla ya hapo, Luiz aliungana na supastaa Omar Abdulrahman kwa ajili ya kuangalia mchezo huo.

Mchezo huo unahusisha watu wenye nywele ndefu tu.
Kimsingi, wachezaji wote waliojumuika katika mchezo ule walikuwa na nywele ndefu maarufu kama afro.
Baada ya mchezo huo, Luiz kupitia akaunti yake ya Instagram aliweka picha zilizohusisha mchezo huo.



Angalia video ya mchezo huo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video