Saturday, June 18, 2016

KIUNGO mshambuliaji wa FC Platinums ya Zimbabawe, Obrey Chirwa (kulia) akisaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jijini Dar es Salaam jana muda mfupi tu baada ya kuwasili nchini.
Yanga SC watalituma haraka CAF jina la mshambuliaji huyo ili aanze kutumika mechi za makundi kombe la shirikisho Afrika mapema.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video