Thursday, June 16, 2016

Nyota wa Ufaransa anayekipiga kunako klabu ya Manchester United Anthony Martial hatausahau mchezo wa jana dhidi ya Albania baada ya kocha wake Didier Deschamps kumtoa nje bada ya kipindi cha kwanza kumalizika.
Martila (20) alianza mchezo wa jana  huku Paul Pogba na Antoine Griezmann wakianzia bechi.
Hata hivyo, Martial hakuwa katika kiwango kizuri kama ambavyo amezoeleka namna anavyowanyanyasa mabeki wa Ligi ya England.
Licha ya kutoonesha kiwango hicho pengine kutokana na uzoefu wake mdogo katika michuano hiyo, lakini mashabiki hawakuacha kumponda kupitia mtandao wa Twitter.

Angalia walichomfanyia huku kwenye Twitter.




0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video