Sunday, June 19, 2016

Kweli ushindi ni raha!. Jana Argentina walishinda kwa kishindo wa magoli 4-1 dhidi ya Venezuela katika mchezo wa robo fainali uliofanyika katika uwanja wa Gillette Stadium uliopo Foxborough, Massachusetts.
Magoli ya Argentina yalifingwa na Gonzalo Higuain (mawili), Lionel Messi na Erik Lamella
Kwa maana hiyo Argentina sasa wametinga nusu fainali ambapo watakutana na USA.
Pichani ndio staili walioamua kushangilia baada ya ushindi wa jana.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video