Tuesday, May 31, 2016

Dimitri Payet ni fundi wa kupiga mipira ya adhabu. Hilo halina ubishi. Amekuwa akifanya hivyo msimu wote wa EPL ulioisha akiwa na klabu yake ya West Ham na amefanya hivyo pia mara kadhaa akiwa na Ufaransa katika mechi za maandalizi ya Euro 2016 itakayopigwa nchini humo.
Jana amepiga faulo matata na kufunga goli katika mchezo dhidi ya  Cameroon ambapo  Ufaransa walishinda 3-1. Kabla ya kufunga goli hilo ubao wa matokeo ulikuwa ukisomeka 2-2.  Payet alifunga goli hilo dakika ya tisini.
Je, anaingia miongoni mwa wapigaji faulo bora?
Ukimwangalia mara zote namna anavyojiamini kabla ya kupiga faulo utagundua huyu kwa sasa ni miongoni mwa wapigaji faulo bora kwa sasa ulimwenguni.

Angalia video ya faulo yake iliyozaa goli jana

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video