Sunday, May 29, 2016

Timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars ambayo leo imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' katika mchezo wa kirafiki uliyochezwa katika dimba la Moi Kasarani jijini Nairobi.
Taifa Star ndio walikuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Elius Maguri dakika ya 33 ambaye aliunganisha krosi maridhawa iliyochongwa na mlinzi wa kulia ambaye yuko kwenye kiwango cha juu hivi sasa Juma Abdul Jaffar na kuukwamisha mpira huo kimiani.
Goli hilo halikudumu sana,baada ya Harambee Stars kusawazisha goli kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Victor Wanyama baada ya Timbe kufanyiwa madhambi na Shiza Kichuja.
Pamoja na mabao hayo, Stars ilionekana kutawala zaidi kipindi cha pili mwisho na hata baada ya kuanza kipindi cha pili.
Mchezo huu ulikuwa ni maalum kwa ajili ya maandalizi ya michuan ya Afcon ambapo Stars itawakaribisha Misri Jumamosi ya wikiendi ijayo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video