Friday, May 27, 2016

 
Imekuwa ni wiki ya tetesi nyingi juu ya uji wa Jose Mourinho kwenye klabu ya Manchester United, laki leo asubuhi taarifa rasmi zimetoka kuwa Jose Mourinho ameteuliwa rasmi kubeba mikoba iliyoachwa na Van Gaal.
Mourinho alikuwa akihusishwa kujiunga na Man United tangu Desemba mwaka jana na ujio wake umehitimisha tetesi zote hizo
José Mourinho ataanza safari yake na Unite kwa kukumbana na mtihani wa kupambana na Borussia Dortmund huko Shanghai Ijumaa ya mwezi July.
Baada ya kuteuliwa, uongozi wa Man United umetoa baadhi ya kauli za aina yake.
“Mourinho ni kocha bora katika ulimwengu wa soka kwa sasa”
Ed Woodward amemsifu Mourinho na kusema kuwa “Kwa kifupi tu José ni kocha bora katika ulimwengu wa soka kwa sasa.”
Kwa upande wake Mourinho amesema: “Kuwa kocha wa Manchester United ni heshima ya kipekee katika soka. Ni klabu inajulikana na kupendwa ulimwenguni kote”
José Mourinho amesaini mkataba wa miaka mitatu ambao una kipengele chenye 'option' ya kuendelea kubaki mpaka mwaka walau 2020.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video