Friday, May 27, 2016

Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema kama kuna mtu muhimu zaidi kwenye timu ya Real Madrid kuelekea mchezo wao wa UEFA kesho basi ni Casemiro.
Uwepo wa Cristiano Ronaldo, Karim Benzema na Gareth Bale kwenye safu ya ushambuliaji ya Real Madrid, Simeone haoni kama ni hatari kubwa ispokuwa kiungo mkabaji Casemiro.
"Mchezo utakuwa mgumu wa aina yake, na utakaobalansi. Uwepo wa Casemiro utaifanya timu yao ibalansi ikitokea hawana mpira. 
"Casemiro ndiyo anaifanya Madrid kuwa na hatari kubwa hasa kwenye mipira ya kushtukiza (counter-attack). Kama ukiwaachia nafasi basi ni hatari mno."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video