Thursday, May 26, 2016

Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya mustakabli wa Cristaoni Ronaldo katika siku za baadaye kama atarudi Manchester Unites ama la.
Mzizi huo wa fitna umemalizwa kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayopigwa mwishoni mwa wiki hii ambapo, moja ya TV show ya nchini Hispania ambapo Jugones alifanya mazungumzo na Cristiano juu ya suala hilo.
Wakati wa mahojiano hayo, CR7 amethibitisha kuwa atamalizia maisha yake ya soka kunako klabu yake ya sasa ya Real Madrid yenye maskani yake katika uwanja wa Bernabeu:
Amesema: "Ni dhahiri nitaendelea kubaki hapa. Nadhani nitastaafia soka langu hapa Real Madrid.
Je utaongeza mkataba baada ya fainali ya UEFA? "Ngoja tuone . Real Madrid watakuwa timamu sana endapo wataniongezea mkataba."
"Ninafuraha sana kuwa hapa Real Madrid. Sioni kama kuna klabu yeyote duniani zaidi ya Real Madrid."

Video

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video