Saturday, May 28, 2016

Bao la MARCUS RASHFORD dhidi ya Australia limemfanya kuwa mchezaji mdogo zaidi kufunga goli katika mchezo wake wa kwanza kwa timu ya taifa ya England. Ni Rekodi iliyodumu kwa miaka 78 kwani ilikuwa ikishikiliwa na mchezaji wa zamani wa taifa hilo TOMMY LAWTON aliyeiweka mwaka 1938 katika mchezo uliokuwa wa kwanza kwake dhidi ya Wales.
TOFAUTI NDOGO KATI YA WAWILI HAWA:-
1. LAWTON alifunga bao hilo kwa mkwaju wa penalty ilihali RASHFORD alifunga kwa shambulizi la kawaida.
2. LAWTON alifunga lakini England ilikubali kichapo cha mabao 4 dhidi ya 2 kutoka kwa Wales wakati goli la RASHFORD lilikuwa ni la kuongoza (dakika ya 2 tu ya mchezo) na England ikaibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Australia.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video