Baada ya safari ndefu hatimaye Mabingwa wa Tanzania Bara na wawakilishi pekee kimataifa katika ukanda wa CECAFA Young Africans SC jana wamewasili salama katika mji wa Dundo uliopo Km 1300 toka mji mkuu wa Angola yaani Luanda.
Tuesday, May 17, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment