Friday, May 27, 2016

MSHAMBULIAJI wa timu ya Free State Star ya Afrika Kusini, Mrisho Ngassa, amemkubali kiungo wa pembeni wa Yanga, Deus Kaseke kutokana na uwezo wa kucheza soka.
Ngassa aliyejiunga na Free State Star katika msimu uliopita baada ya kumaliza kuitumikia Yanga, alisema Kaseke ni mchezaji mwenye kipaji na ana uwezo mkubwa uwanjani.
Akizungumza na BINGWA juzi, Kaseke alisema kiungo huyo ni hazina katika kikosi cha Yanga na kuendeleza juhudi kwa kuonyesha kiwango.
“Siwezi kusema kama kaziba pengo langu au hajaziba, isipokuwa ninamuona ana juhudi kubwa sana, akiwa uwanjani ni mpambanaji anajua kucheza vizuri na kukaba,” alisema Ngassa.
Ngassa alisema Kaseke ana mapafu ya mbwa kutokana na aina yake ya uchezaji, lakini umri  wake bado mdogo ana uwezo wa kuhimili vishindo kwa kucheza kwa kasi kwa dakika 90.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga alikuwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyoikutanisha Yanga na Azam.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video