Tuesday, May 31, 2016

Kipa wa Costa Rica na Real Madrid Keylor Navas ataikosa michuano ya Copa America baada ya kupata majeraha ya nyama za mguu wa kushoto yaliyotokana na fainali ya UEFA wikiendi iliyopita.
Kipa wa Deportivo Saprissa Danny Carvajal ameitwa kuziba nafasi hiyo Navas.
Navas sasa atalazimika kuonana na mtaalam ambaye ataweza kumsaidia kutatua tatizo hilo hasa baada ya  kumrudia mara kwa mara. Pia lilisababisha kukosa michuano ya kombe la CONCACAF Gold Cup mwaka jana.
Kukosekana kwa Navas pamoja na straika Ariel Rodriguez, ni pigo kubwa kwa Costa Rica, ambao wamepangwa kundi A pamoja na Marekani, Paraguay na Colombia.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video