Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Low, ametaja majina 27 ya kikosi chake cha awali kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya EURO 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa.
Katika kikosi hicho, licha ya kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara, nahodha wa timu hiyo Bastian Bastian Schweinsteiger ameijumuishwa.
Mchezaji mwingine ambaye kulikuwa na wasiwasi mkubwa wa kutojumuishwa ni Lucas Podolsi ambaye hata hivyo pia ameitwa.
Kikosi kamili ni hiki hapa;
Makipa: Manuel Neuer (Bayern Munich), Bernd Leno (Bayer Leverkusen), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
Mabeki: Jerome Boateng (Bayern Munich), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Emre Can (Liverpool), Jonas Hector (Cologne), Benedikt Howedes (Schalke), Shkodran Mustafi (Valencia), Sebastian Rudy (Hoffenheim), Antonio Rudiger (Roma)
Viungo: Mario Gotze (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Sami Khedira (Juventus), Toni Kroos (Real Madrid), Karim Bellarabi (Bayer Leverkusen), Julian Brandt (Bayer Leverkusen), Julian Draxler (Wolfsburg), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Bastian Schweinsteiger (Manchester United), Julian Weigl (Borussia Dortmund)
Washambuliaji: Thomas Muller (Bayern Munich), Andre Schurrle (Wolfsburg), Lukas Podolski (Galatasaray), Mario Gomez (Besiktas), Marco Reus (Borussia Dortmund), Leroy Sane (Schalke)
0 comments:
Post a Comment