Monday, May 30, 2016

Mchezaji wa kimataifa wa Ghana  Kevin-Prince Boateng kupitia akaunti yake ya Instagram amejibu mapigo juu ya ubaguzi wa rangi aliofanyiwa kaka yake Jerome na moja ya wanasiasa nchini Ujerumani.
Jerome (27) ameshinda kombe la dunia akiwa na Ujerumani pamoja  na kombe la Ligi ya Mabingwa na ndoo za Bundesliga akiwa na Bayern Munich.
Ametokea kuzungumzwa kwa kiasi kikubwa na vyombo vya habari Ujerumani baada chama chenye mrengo wa kulia cha fuer Deutschland (AfD) kukosolewa vinaya kutokana na moja ya viongozi wake kutoa comments mwishoni mwa wiki iliyopita ambayo haikutafsiriwa vizuri na watu nchini humo.
Makamu Mkuu wa AfD Alexander Gauland alisema Ujeruamni isingependa kuwa na Jerome Boateng kama jirani yako, kutokana na asili ya baba yake kuwa ni Ghana.
Baaada ya tkuio hilo la kibagyzi kaka wa Jerome, Kevin-Prince Boateng aliposti picha ya ndugu yake huyo akiwa ameshika kombe la dunia waliloshinda mwaka 2014 na kuweka maelezo haya “Kama mnataka kushinda makombe mengi basi mnahiaji majirani kama kaka yangu”.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video