Sunday, May 29, 2016



Mpenzi wa Yannick Carrasco, Noémie Happart amegueka kuwa maarufu duniani baaada ya mchezaji huyo kuisawazishia timu yake goli dhidi ya Real katika mchezo wa jana wa fainaly ya Champions League.
Carrasco ambaye aliingia kapindi cha pili kuchukua nafasi ya Augusto Fernandez alifunga goli hilo na kwenda moja kwa moja kwa mpenzi wake na kpigana kiss nzito kutokana na furaha iliyopitiliza.
Carrasco amekuwa Mbelgiji wa kwanza katika historia kufunga goli katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Baada ya busu zito hizi ndizo picha za mrembo huyo ambaye ni Miss Ubelgiji mwaka 2013 zilivyozagaa mitandaoni.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video