Saturday, May 28, 2016

Nyota wa Real Madrid Gareth Bale amesema wako tayari kukabiliana na Atletico kwa namna yoyote kuelekea pambano lao la fainali ya Ligi ya Mabingwa litakalopigwa leo usiku usiku San Siro.
Miamba hiyo ya La Liga inakutana kwa mara ya pili katika hatua hiyo ndani ya miaka mitatu baada ya mwaka 2014 Real kuibuka mbabe ambapo Bale alikuwa mmoja wa wafungaji
"Mchezo dhidi ya Atletico mara zote unakuwa na matumizi makubwa ya nguvu. Wanapenda sana kulinda na ni vigumu sana kupenya safu yao ya ulinzi.
"Kwenye mchezo wa leo kitu muhimu zaidi ni kutumia kila nafasi itayopatikana kikamilifu.
"Sisi tuna mipango yetu pia. Tunaweza kukaa na mpira, kucheza counter-attack, na kulinda pia. Wakati wa mchezo ndiyo tutajua kitu gani cha kufanya."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video