Friday, May 27, 2016

Kuelekea maandalizi ya mchezo wa fainali ya UEFA kati y Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid itakayopigwa Jumamosi mwishoni mwa wiki hii, maneno kadhaa yamekuwa yakiongelewa na ama wachezaji wenyewe au mashabiki hasa wa Real Madridi juu ya pambano hili.
Cristiano Ronaldo, kwa mfano, wakati akiongea na moja ya waandishi alisema kwamba Real ni bora kuliko Atletico na watathibisha hilo Jumamosi kwenye fainali ya UCL pale watakapowandandika vibaya.
Haikuishia hapo tu, Gareth Bale naye amekuja na kauli yake baada ya kusema kuwa hakuna mchezaji yeyote wa Atletico anayeweza kuingia katika kikosi cha kwanza cha Real Madrid.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video