Washindi wa pili wa Ligi Kuu Bara, Azam FC rasmi leo wanafungua duka lao la kuuza vifaa vya michezo.
Taarifa zinaeleza kuwa duka hilo litakuwa eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Tayari Simba wameanza kufanya hivyo, Azam FC inakuwa klabu ya pili kufanya hivyo.
0 comments:
Post a Comment