Monday, May 30, 2016

Inafahamika dhahiri kwamba Gerard Pique na Alvaro Arbeloa hawapikiki chungu kimoja, mwanzoni mwa msimu huu Pique alimuelezea Arbeloa kama binadamu anayefanana na 'koni'
Arbeloa ambaye msimu huu anaondoka rasmi Real Madrid, Jumapili usiku baada ya kuchukua ndoo ya Champions League Arbeloa naye alimrushia kijembe Gerard Pique wakati wa kusherehekea ubingwa huo katika dimba la Santiago Bernabeu.
Mwaka jana, Gerard Piqué wakati wakisherehea katika dimba la Camp Nou baada ya kutwaa ndoo ya UEFA alishika kipaza sauti na kumshukuru “Kevin Roldán, na kusema kwamba hii inaanzia kwako!“akirejea sherehe ya kuzaliwa ya Cristiano Ronaldo baada ya kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Atlético de Madrid.
Alvaro Arbeloa naye amefanya hivyo hivyo jana na kutoa 'comment' iliyowafurahisha mashabiki waliofika katika dimba la Bernabeu jana usiku: “Sijui nani alilianzisha hili [anaacha kuongea na kucheka kidogo] lakini najua nani wa kumpa shukrani hizi. Nakushukuru sana.”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video