Saturday, May 28, 2016

Alexis Sanchez na Aaron Ramsey ni wachezaji wa Arsenal waliobadilisha namba zao na kupewa namba mpya watakazotumia msimu ujao.
Sanchez amepewa namaba 7 iliyokuwa ikivaliwa na Tomas Rosicky ambaye ameondoka huku jana ikithibitishwa kuwa Aaron Ramsey atakuwa akivaa namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Mikel Arteta ambaye pia anaondoka.
Ijumaa waki iliyopita, Arsenal walimtambulisha mchezaji mpya  waliomsajili Granit Xhaka na huyu ndio amekabidhiwa jezo namba 16 aliyokuwa akivaa Aarom Ramsey.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video