
Kwa mujibu wa marekebisho ya ratiba ya Vpl yaliyofanywa na bodi ya ligi: Aprili 6 uwanja wa Taifa ni Yanga vs Mtibwa, ligi kuu. Pia ratiba ya Azam Sports Federation Cup inaonesha Aprili 6 ni Simba vs Coastal uwanja wa Taifa. Kutokana na mwingiliano huo, bodi ya ligi imesogeza mechi ya Asfc ya simba vs coastal, sasa itachezwa Aprili 11 uwanja wa Taifa.
0 comments:
Post a Comment