Saturday, March 26, 2016

Nigeria na Misri walikuwa na shughuli pevu jana katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon), mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ahmadu Bello uliopo mjini Kaduna na kuisha kwa sare ya 1-1.
Katika mchezo huo, kulikuwa na hatari kubwa baada ya watazamaji kujaa uwanjani na kuvuka kiwango kinachotaziwa kutosheleza uwanja huo.
Idadi ya watazamaji walioingia uwanjani hapo ilikuwa ni 40,000 tofauti na 25,000 ambayo ndiyo makadirio sahihi ya uwanja huo. Wengine walikaa kwenye taa za uwanja (floodlights) na baadhi kwenye ubao wa matangazo ya uwanjani (scoreboard).
Tetesi za chini chini zinaleza kuwa, hali hiyo imetokana na ujio wa kinda mpya ambaye amekulia kwenye academy ya Arsenal Alex Iwobi ambaye kwa mara ya kwanza alicheza kwenye kikosi hicho baada ta kuikacha timu ya taifa ya Uingereza.
Nigeria v Egypt
Nigeria v Egypt
Nigeria v Egypt





0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video