Kiungo wa Stoke City Charlie Adam hajwahi kusikia
mchezaji yeyote wa Arsenal akihamasisha wenzake uwanjani pindi anapocheza dhidi yao.
mchezaji yeyote wa Arsenal akihamasisha wenzake uwanjani pindi anapocheza dhidi yao.
Arsenal wamekuwa wakikosolewa kwa kukosa uongozi uwanjani hasa baada ya kipigo cha mabao 3-2 dhidi ya Manchester United.
Alipoululizwa wakati akifanyiwa mahojiano ni lini amewahi kusikia Arsenal mchezaji wa Arsenal akiongea wakati wakiwa mchezoni, Mscotland huyo alijibu: "Hakuna...hakuna yeyote anayefanya hivyo."
Adam aliongeza: "Unahitaji kuwa na mtu wa kutia hamasa wakati mkiwa mchezoni, lakini kwao sijawahi kuona."
0 comments:
Post a Comment