Monday, February 15, 2016

Zlatan Ibrahimovic amekiri kwamba pambano la UEFA kati ya Paris Saint-Germain dhidi ya Chelsea halitanoga kutokana na kutokuwepo kwa Jose Mourinho katika benchi la Chelsea, na kumsisitiza kocha huyo raia wa Ureno kufanya hima kurudi kundini
Kwa takriban misimu miwili mfululizo na huu ukiwa wa tatu Chelsea na PSG wamekuwa wakitana katika hatua za mtoano huku kila upande ukimtoa mwenzake mara moja na mara zote Mourinho alikuwa kwenye benchi la Chelsea.
“Nadhani kila mtu anammisi Mourinho katika mchezo huu wa soka,” amesema Zlatan.
“Lakini naamini atarudi katika soka hivi karibuni, na kama ni mvumilivu kidogo basi utamwona hivi karibuni akiinoa timu nyingine.
“Je, ninashangazwa na kufukuzwa kwake? hapana sijui. Kila kitu kinategemea matokeo na hiyo ndiyo sehemu mbovu kabisa katika mchezo wa soka. Usipofanya vizuri, basi lazima uadhibiwe, na hii inawahusu makocha. Sisi hatufukuzwa kama ambavyo makocha hufukuzwa.!”

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video