Saturday, February 13, 2016

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC wamefanikiwa kuibuka wa ugenini wa goli 1-0 dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius, mchezo uliopigwa katika dimba la Curepipe mjini Curepipe, Mauritius.
Yanga walifanikiwa kupata goli lao kupitia kwa Donald Dombo Ngoma mnamo dakika ya 17.
Yanga walipata pigo baada ya beki wao wa pembeni Juma Abdul kuumia katika kipindi cha pili na kushindwa kuendelea na mchezo huo.
Mpaka sasa haijawekwa wazi majeraha aliyopata yana ukubwa gani, lakini inasubiriwa ripoti ya daktari ambayo itabainisha kila kitu

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video