Monday, February 22, 2016

Kuna tukio la kushangaza limetokea kwenye soka huko nchini Uturuki wakati Galatasaray ikiibuka na ushindi dhidi ya Trabzonspor ambalo lilishuhudia wachezaji saba wakimaliza game hiyo.
Mambo yalibalika dakika za mwisho za mchezo huo, wachezaji wa Trabzonspor walikuwa hawakubaliani na maamuzi ya referee wa mchezo huo kumtoa nje kwa kadi nyekundu mchezaji mwenzao Luis Pedro Cavanda kuonesha kwamba walikuwa hawakubaliani na tukio hilo, Salih Dursun aliichukua kadi nyekundu ambayo iliangushwa chini na mwamuzi na kumwonesha mwamuzi huyo akiashiria kumtoa nje ya uwanja.
Mambo yakambadilikia baada ya mwamuzi kuchukua kadi hiyo na kumwonesha Dursun kadi nyekundu na kumtaka atoke nje ya uwanja.
Shuhudia video hapo chini

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video