Thursday, February 18, 2016

Star wa zamani wa EPL Roy Keane ambae alipata mafanikio na club ya Manchester United, havutiwi kabisa na attitude ambayo Hazard anaionyesha ndani ya Chelsea.
Hazard anahusishwa sana na habari za kuhama club yake ya sasa na kujiunga na Real Madrid au PSG.Wiki iliyopita aliongea na gazeti la Le Parisien alisema kwamba ni ngumu sana kupotezea ofa ambayo itakuja kutoka Ligue 1. Bila shaka ofa hiyo ni kutoka club ya PSG.
Roy Kean akiongea na kituo cha ITV amesema,”Kama ningekua nacheza nae club moja basi ningempa kipigo sana wakati tupo mazoezi. Ana kipaji kikubwa lakini tabia anayoonyesha ni ya kitoto sana. Huwezi kuwalaumu wachezaji wakati mwingine kama wana mood mbaya ambayo inaweza kusababisha wasi perform vizri uwanjani. Lakini hata kama upo kwenye harakati za kutaka kuhama club yako ya sasa, haitakiwi uwe vile kama alivyo Hazard. Ukiingia uwanjani lazima uonyeshe uwezo wako wa hali ya juu kusaidia club. Ukiwa uwanjani unacheza kwa ajili ya wachezaji wenzako, club yako, mashabiki wenu na familia yako.”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video