Thursday, February 18, 2016

Nahodha wa Man United, Wayne Rooney ameumia. Sasa atakuwa nje kwa mwezi mzima.
Kuumia kwake ni hofu kwa Kocha Louis van Gaal wa Man United, pia Kocha Mkuu wa England, Roy Hodgson.
Taarifa zinaeleza ameumia goti katika mechi dhidi ya Sunderland na vipimo vimeonyesha kuwa anahitaji matibabu.
Manchester United imesafiri kwenda Denmark kuifuata  Midtjylland kwa ajili ya mechi ya michuano ya Europa Cup. Lakini imeondoka bila ya Rooney.
Van Gaal amethibitisha hilo na kusema wanaendelea kusubiri ili kupata uhakika.
Lakini taarifa zilizolifikia gazeti la The Guardian la England, zinaeleza Rooney atakaa nje kwa mwezi mzima.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video