Tuesday, February 16, 2016

Wayne Rooney amewataka wachezaji wenzake wa Manchester United kujituma kwa bidii kupunguza presha inayomkabili kocha wao Louis van Gaal.
Rooney, ambaye amerudi kwenye kiwango chake tangu kuanza kwa mwaka huu, amefunga magoli saba ndani ya michezo nane huku akionesha kuingiwa na huruma juu ya tuhumza zinazoelekezwa kwa kocha wake.
Wayne Rooney
United wako nafasi tano, pungufu ya alama 5 dhidi ya timu inayoshika nafasi ya nne. 
'Kimsingi kocha amekuwa akifanya kila anachoweza pale timu inapofanya vibaya. Hili suala limebaki kwetu, sisi ni wachezaji na tunapasa kucheza katika kiwango bora'
Wachezaji wa United wakiwa hawana la kufanya baada ya timu yao kufungwa bao la pili na Sunderland wikiendi iliyopita.
'Mara kadhaa msimu huu hatuweza kufanya vizuri. Tumekuwa tukifanya makosa rahisi sana ambayo kocha amekuwa akiyakemea sana.
'Tunapokuwa uwanjani. Tunapaswa kutenengeneza nafasi ili kushinda michezo yetu, lakini hatufanya hivyo kwa umakini msimu huu.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video