Floyd Mayweather ni moja ya mabondia wenye uwezo mkubwa wawapo ulingoni lakini bado hiyo haitoshi, jamaa ana walinzi hatari ambao wana miili mikubwa kinoma.
Mayweather hajawahi kupigwa katika pambano lake lolote tangu aanza mchezo huo mpaka alipostaafu mwaka jana mwishoni.
Hebu mcheki hapa jana alivyokuwa akikatiza katika mitaa ya jiji la London huku akiwa amezungukwa na walinzi wake ambao ni mabaunsa ya hatari.
0 comments:
Post a Comment