
Zlatan Ibrahimovic akoindoka uwanjani na jezi mbili ambazo alibadilishana na Willian pamoja na Pedro Rodriguez baada ya mchezo wa jana. PSG ilishinda 2-1 dhidi ya Chelsea

Ibrahimovic akibadilishana tisheti na Willian baada ya mchezo wa jana.


Kabla ya kubadilisha na Willian tayari Ibrahimovic alikuwa ameshampa tisheti yake Pedro

Pedro na Zlatan walicheza pamoja Barcelona na kufanikiwa kubeba ndoo ya La Liga kwa mara ya 20.
0 comments:
Post a Comment