Sunday, February 21, 2016

Hii ni kama imethibitishwa sasa, Jose Mourinho atarithi mikoba ya replace Louis van Gaal kunako klabu ya Manchester United. Taarifa hii ni kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Jose Mourinho.
Lakini sintofahamu ilizuka baada ya Mourinho kuonekana akipata chakula cha mchana na Mkurugenzi wa Inter Milan Bedy Moratti, ambapo ilisemekana pengine Mreno huyo angerejea Inter Milan.
Lakini alipoulizwa kama Mourinho yuko mbioni kurejea klabuni hapo, alijibu: 'Hapana, kwa sasa ana furaha kubwa tu, yuko mbioni kwenda Manchester. Bila shaka, mara zote amekuwa ni mtu mzuri sana na tumemkumbuka sana, tuliishi naye vizuri wakati yupo hapa.' 
Jose Mourinho akiwa amezungukwa na wanahabari baada ya kutua jijini Milan.
Mkurugenzi wa Milan director Bedy Moratti amesema kwamba Jose Mourinho atakwenda Manchester.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video