Tuesday, February 9, 2016

David De Gea

David De Gea angekuwa akilipwa yuro milioni 11.8 kwa mwaka (paundi milioni 9.1) kwa mwaka endapo angehamia klabu ya Real Madrid, hii ni kutokana na vielelezo vilivyopostiwa mtandano ambavyo inasemekana vimevuja.
Uhamisho wa mlinda mlango huyo namba moja wa Uhispania na Manchester United1ulikuwa ni kama umekamilika lakini kasoro ndogo ndogo zilizuia zoezi hilo kukamilika kwa wakati kabla ya dirisha la usajili majira ya joto kufungwa.
Baada ya zoezi hilo kushindwa kukamilika, pande zote ziliishia kulaumiana huku kila upande ukimnyooshea kidole mwenzie kwamba ndiyo sababu ya kufeli kwa uhamisho huo.
Taarifa zote juu ya uhamisho huo sasa zimevuja mitandaoni na kila kitu kipo wazi.
De Gea angekuwa anapokea paundi mil175,000 kwa wiki, jumlisha na marupurupu mengine, mkataba ambao ungeisha mwezi Juni 30 2021.
De Gea pia angepata kiasi cha yuro mil10.9m (pauni ml 8.4), kama ada ya usajili ambayo angepewa mwezi Januari mwaka huu.
Kwa ujumla, mpaka mkataba wake kumalizika, De Gea angejizolea zaidi ya kiasi cha paundi milioni 66m.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video