Sunday, February 21, 2016

Ronaldo: Messi 'has something extra' than Cristiano
Legend wa Brazil Ronaldo de Lima amesisitiza kwamba Lionel Messi ni mchezaji bora kuliko Cristiano Ronaldo kwa sababu Murgentina huyo ana vitu vingi vya ziada.
Wawili hao ambao wamekuwa na ushindani mkubwa sana La Liga na kufanikiwa kutwaa tuzo ya Ballon d'Or kwa kupokezana.
Mwaka 2015 Messi alichukua kiatu cha dhahabu, akiweka rekodi ya kuchukua kwa mara ya tano, vilevile akiweka rekodi nyingine katikati mwa wiki baada ya kuwa wa kwanza kufunga goli la 300 La Liga walipocheza na Sporting Gijon.
"Messi au Ronaldo? Nadhani Messi ana kitu zaidi ya CR7, ana faida nyingi uwanjani,” alisema. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video