
Kocha wa zamani wa Zambia na Ivory Coast Herve Renard, jana ametueliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Morocco akichukua mikoba ya Badou Zaki.
Renard (47) ambaye kwa nyakati tofauti alizipa ubingwa Afrika timu za taifa za Zambia(2012) na Ivory Coast mwaka jana, amepata nafasi hiyo baada ya kutimuliwa na klabu ya Lille ya nchini Ufaransa kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.
0 comments:
Post a Comment