Friday, February 19, 2016

Kocha wa Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda, amemtaja winga wa Yanga, Simon Msuva ndiye anayemhofia kuelekea katika mchezo huo.
Kauli hiyo inaweza kuwashangaza wengi kwa kuwa Amissi Tambwe na Donald Ngoma ndiyo washambuliaji wa Yanga ambao wameonekana kuwa na makali zaidi, lakini Mayanja yeye amemtazama Msuva katika jicho la tofauti.
Akizungumza kutoka Morogoro ambako Simba imeweka kambi, Mayanja alisema Msuva anamuona ndiye hatari zaidi kwao.
“Msuva ndiye mwenye madhara na anayehitaji umakini katika kumchunga. Nimewaona Yanga katika mechi kadhaa wametumia mawinga kupeleka mashambulizi.
“Nitahakikisha mawinga wao hawapati nafasi ya kupiga krosi kwa washambuliaji. Najua (Deus) Kaseke naye ni hatari lakini Msuva ndiye hatari zaidi.” 
Chanzo:Salehjembe

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video