Thursday, February 25, 2016

Manchester City imejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele hadi hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dynamo Kiev kwa mabao 3-1 ikiwa nyumbani.
Pamoja na kuonyesha soka safi ikiwa nyumbani, Dynamo Kiev imeshindwa kuonyesha cheche mbele ya wageni wake na kukubali kipigo hicho.
Kwa upande wa City, shukurani kwa Sergio Aguero aliyepachika bao katika dakika ya 15 na David Silva na Yaya Toure waliopachika mawili katika kipindi cha pili.

Dynamo Kiev starting XI :
Shovkovskiy, Danilo Silva (Makarenko), Dragovic, Vida, Khacheridi, Rybalka, Garmash (Miguel Veloso), Gonzalez, Buyalskiy, Yarmolenko, Teodorczyk (Junior Moraes)
Dynamo Kiev subs: Rudko, Petrovic, Korzun, Gusev

Manchester City starting XI: 
Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Clichy, Fernando, Fernandinho, Toure, Silva, Sterling, Aguero
Man City subs: Caballero, Demichelis, Zabaleta, Mangala, Kolarov, M.Garcia, Iheanacho

PSV Vs Atletico Madrid
Mechi nyingine ilikuwa ni kati ya PSV ya Uholanzi waliokuwa nyumbani dhidi ya Atletico Madrid na mechi imeisha kwa sare ya bila kufungana.






0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video