Kufuatia sakata la madai ya upangaji wa matokeo katika michezo miwili ya ligi daraja la kwanza Kundi C (Kanembwa JKT 0-8 Geita Gold na Polisi Tabora 7-0 JKT Oljoro). Leo katika mkutano wa waandishi wa habari Rais wa TFF amesema kuwa suala hilo limepelekwa mahakamani, na baadaye akaulizwa swali na mwandishi mmoja wa habari. SWALI: Inadaiwa kuwa wewe ulihusika katika upangaji wa matokeo kwa kumshinikiza mmoja wa maafisa waliokuwa wakisimamia mmoja kati ya michezo hiyo miwili. Unazungumziaje tuhuma hizo? Na haya ndiyo majibu yake

Posted by East Africa Television (EATV) on Tuesday, 23 February 2016
0 comments:
Post a Comment