Wayne Rooney ameposti picha ya watoto wake Kai akiwa na mdogo wake Klay kwenye akaunti yake ya twitter wakiwa jikoni.
Lakini kitu cha kuvutia na kushangaza Kai ameonekana kuvaa jezi tofauti na ile ya Manchester United ambayo ndiyo timu ya baba yake badala yake amevaa jezi ya Aston Villa, timu ambayo kwa sasa imekumbwa na jinamizi la matokeo mabovu kunako ligi ya EPL.
Kutokana na tukio hilo kupitia akaunti yao ya twitter Aston Villa wamempongeza kijana huyo.
Angalia tweet hizo hapo chini:-
0 comments:
Post a Comment