Friday, February 12, 2016

Kiungo wa Yanga Mzimbwe Thaban Kamusoko Scara ni moja ya wachezaji wanaokipiga kunako Ligi Kuu Soka Tanzania bara ambao wapo 'active' sana katika mitandao ya kijamii.
Kupitia ukurasa wake wa facebook, Kamusoko ambaye anamudu nafasi zote za kiungo (mkabaji na mshambuliaji), leo ameelezea furaha yake kubwa kwa kupata fursa ya kushiriki michuano ya CAF kwa mara ya tatu tangu aanze kusakata kabumbu.
Kamusoka ameandika hivi;-
"Im happy to participate in the Caf champioms league for the third time in my career thnk God for lovely talent he gave me..."
Akimaanisha hvi: "Nina furaha kubwa kushiriki michuano ya Caf kwa mara ya tatu tangu nianze kucheza soka, namshukuru Mungu kwa kipaji alichonipa"

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video