Wednesday, February 10, 2016

Lukaku: Van Persie has the best movement of any striker
Romelu Lukaku anaamini kwamba Robin van Persie ndiye mshambuliaji mwenye 'movement' ambaye amewahi kumshuhudia.
Mholanzi huyo aliitumikia Arsenal kwa misimu nane na kuibuka mfungaji bora katika msimu wake wa mwisho akiwa na klabu hiyo kabla ya kutimkia Manchester United na kushinda ubingwa.
Lukaku, ambaye amefunga magoli 16 msimu huu, aliulizwa ataje mshambuliaji amewahi kumvutia wakati akichipukia katika soka la kimataifa, na ndipo alipomtaja Robin Van Persie.
“Kwa wakati fulani nilikuwa nampenda sana Robert Lewandowski wakati alipokuwa akianza kucheza Dortmund. Nilikuwa pia nikimtazama sana Zlatan Ibrahimovic. Adriano, kwenye ubora wake akiwa Inter Milan, alikuwa hatari sana,” Lukaku alisema.
“Van Persie alikuwa na movement za hatari sana. Alipokuwa Arsenal na kushinda kiatu cha dhahabu , nilishuhudia movement za hatari sana kutoka kwake. 
“Hata katika msimu wake wa kwanza akiwa Manchester United, walishida ubingwa kwa sababu alifunga takriban magoli yote yaliyopelekea kutwaa ubingwa.”

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video