E FM 93.7 imemtambulisha mtangazaji mpya ambaye Tunu Hassan Shenkome maarufu kama Sports Lady.
Pichani Mkuu wa vipindi vya michezo E FM, Maulid Kitenge akimtambulisha mtangazaji huyo mpya wa kike wa michezo. Wengine pichani ni Ibrahim Masoud Maestro na Oscar Oscar.
Credit: Salehjembe
Credit: Salehjembe
0 comments:
Post a Comment