

Nemanja Matic ni moja ya wachezaji wa Chelsea waliovaa mask msimu huu


Cesar Azpilcueta (kushoto) na Gary Cahill (kulia) pai wamevaa mask msimu huu


Cesc Fabregas (kushoto) na nahodha John Terry (kulia) nao wamewahi kukumba na kadhi ya majeraha ya pua hapo nyuma.


Mchezaji wa zamani wa Chelsea Fernando Torres (kushoto) na Petr Cech nao walipitia kadhia hiyo


Demba Ba (kushoto) na Ramires (kulia) pia waliwahi kuvaa mask

Beki wa zamani wa Chelsea Paulo Ferreira ni moja ya wachezaji waliowahi kuvaa mask mwaka 2011
Hivi ndivyo kikosi cha Chelsea kingekuwa kwa wachezaji waliowahi kuvaa mask tu.

0 comments:
Post a Comment