
Mshambuliaji wa Wolfsburg Nicklas Bendtner amepigwa faini baada ya kuvnja moja ya sheria za klabu hiyo kunako ukurasa wake wa Instagram.
Bendtner ambaye amewahi kuichezea Arsenal, aliachwa na katika kikosi kilichopambana na Gent kwenye michuano ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16 bora na akaamua kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa amesimama pembe ni ya gari aina ya Mercedes S-class.
Wolfsburg inamilikiwa Volkswagen, ambao ni mahasimu wakubwa wa Mercedes S-class, kwa maana hiyo Bendtner amejiweka katika wakati mgumu sana baada ya kufanya jambo hilo.
0 comments:
Post a Comment