AZAM FC wameendelea kujiimarisha kwenye mbio za ubingwa baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mbao 3-0 dhidi ya Mbeya City, mchezo uliopigwa kunako dimba la Sokoine mkoani Mbeya.
Mabao ya Azam yalifungwa na Kipre Tchetche dakika ya 41, John Bocco dakika ya 63 na Farid Mussa dakika ya 84.
0 comments:
Post a Comment