Saturday, February 20, 2016

The Arsenal players react after another chance goes begging for the reigning champions during the FA Cup clash with Hull
Hull City's goalkeeper Eldin Jakupovic was in inspired form to lock out the Gunners, denying this late chance for Alexis Sanchez
Arsenal wamebanwa mbavu na Hull City iliyopo daraja la kwanza baada ya kulazimishwa suluhu. Mchezo huo wa kombe la FA ulipigwa kunako dimba la Emirates maskani mwa washika bunduki hao wa London.
Kwa matokeo hayo mchezo huo utalazimika kurudiwa ili mshindi atakayesonga raundi inayofuata apatikane.
Ikumbukwe Arsenal wanazidi kujiweka katika wakati mgumu kulingana na ratiba ngumu waliyonayo kwa sasa ambapo Jumanne ijayo watakutana na Barcelona kwenye michuano ya klabu bingwa.

MATCH FACTS

Arsenal (4-2-3-1): Ospina; Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Flamini, Elneny; Campbell (Giroud 67), Iwobi (Oxlade-Chamberlain 73), Welbeck (Sanchez 67); Walcott
Subs not used: Monreal, Bellerin, Coquelin, Macey
Booked: Koscielny, Chambers
Hull (4-5-1): Jakupovic; Maguire, Bruce, Davies, Tymon (Odubajo 55); Elmohamady, Powell (Aluko 77), Maloney, Taylor (Huddlestone 55), Meyler; Diomande
Subs not used: Hernandez, Diame, Robertson, Kuciak
Booked: Maguire, Maloney
Referee: Mike Dean 


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video